Posts

Showing posts from March, 2018
Image
9 Signs You Should Break Up Most dating relationships fail. They end. They break up long before marriage. And that’s OK. I mean, it’s not great, and it’s not fun, and it ideally would never be necessary. But if you are in the wrong relationship, then it  is  necessary, and should happen sooner rather than later. Otherwise there will just be more hurt, heartache, and regrets when it does inevitably end. Last Tuesday at The Porch we discussed the topic of  when to break up and when not to . We covered the reasons why people should break up pretty fast, so we thought we should expand upon it and add a few to the list. So, here are nine situations where you should probably break up: 1.   When wise people around you are raising concerns about the relationship. We believe there are three ways God most often speaks: His Word, His Spirit, and His people. The counsel of godly men or women in our lives is a provision from God to protect us and guide us ( Proverbs 15:22 ). They can
Image
Kwa neema za Mungu mtumishi wa Mungu Samwel anatarajia kufunga ndoa takatifu unakaribishwa kumchangia kwa kiasi chochote na utabarikiwa

JINSI FENI INAVYOWEZA KUFANANISHWA NA ROHO, WA BWANA NDANI YA WOKOVU.

Image
FENI. kipepezi ama kifaa kinachotumia kupunguza kiwango cha joto mahala Fulani. Leo mda mchache nlikuwa naitazama feni yangu Roho wa Bwana akanipa ufunuo huu. Ya kuwa   1.Feni haitengenezi joto. 2.Wala feni haitengenezi baridi. Ni muundo wa mapanga ambayo wagunduzi waliyaunda yasukume upepo ukufikie. Je! Ushawahi jiuliza kwa nini kuna wakati unatumia feni na bado unajisikia joto. Wagunduzi waligundua kuwa katika mgandamizo wa hewa kuna some amount ya hewa baridi na ndio maana mara nyingi ukitumia feni inaleta ubaridi.(nadhalia) Lakn nipo hapaaaa Feni nikaifananisha na Roho mtakatifu kuwa usipowasha na kuielekezea kwako kamwe huwezi pata kaubaridi,   Pia nikaifananisha na wokovu kuwa huwezi kuupata pasipo kuekezea kwako. Ukiachana na hyo nikaifananisha na fursa ya kuwa usipoielekezea kwako kamwe huwezi kuipata . Je unakumbuka kitabu cha Mwanzo sura ya 1 kabisa. Mwanzo 1:1-3 [1]Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. [2]Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena