TAMBUA MANUFAA YA KULIMA ZAO LA ALIZETI.
Mogriculture Tz TOGGLE NAVIGATION Published by Steven Kibigili on March 27, 2018 updated on March 27, 2018 Kanuni za Kilimo Bora cha Alizeti Tanzania Hutazikosa tena, weka email yako tukutumie makala zingine kama hii... Subscribe Alizeti hutambulika kitaalamu kama Helianthus Annus na hulimwa kwa wingi karibu maeneo yote nchini Tanzania katika nyanda za kaskazini, kati, mashariki pamoja na nyanda za juu kusini hasa katika mikoa ya Shinyanga, Singida, Dodoma, Iringa, Tabora, Morogoro, Ruvuma, Mbeya, Arusha, Manyara na Rukwa. Hii inatokana na uwezo wa alizeti kustawi vizuri katika mazingira mengi tofauti bila ya kuwa na utofauti mkubwa katika uzalishaji wake. Asili ya zao hili ni nchini Marekani ambako lilienea katika maeneo ya Ulaya na baadae kusambaa sehemu nyingine za dunia ambapo kwa sasa Tanzania ni nchi ya pili Afrika kwa uzalishaji wa alizeti nyuma ya Afrika...
Clip iliyosambaa toka jana katika mitandaoni ya kijamii akisikika Mama
Wema Sepetu na Steve Nyerere imezua Maswali mengi ikiwemo haya hapa
chini:
Comments
Post a Comment