" Mungu ibariki Afrika " ( English : God bless Africa) is the national anthem of Tanzania . The anthem is the Swahili language version of Enoch Sontonga 's popular hymn Nkosi Sikelel' iAfrika . [1] The word Mungu in Swahili means God and the title of the anthem therefore translates as God bless A History "Mungu ibariki Afrika" was translated and became the anthem of Tanganyika . It was essentially assigned to Enoch Sontonga , who died in 1905. Mungu ibariki Afrika used the tune to "Nkosi Sikelel' iAfrika" with a Swahili translation of the words. It is not known who composed the lyrics but it is known that it was Samuel Mqhayi and Enoch Sontonga who created the early versions used by the African National Congress . [2] Although the tune has been assigned to Sontonga it is thought that the tune was originally written by Joseph Parry . [3] [1] This tr...
TOP Ten Ya NYOKA Wenye Sumu Zaidi Duniani Saturday, September 26, 2015 1. Belcher’s Sea Snake 2. Inland Taipan 3. Blue Krait 4. Taipan 5. Black Mamba 6. Tiger Snake 7.Philippine Cobra 8. Vipers 9. Death Adder 10. Rattlesnake
MAJANI YA MPERA NA FAIDA ZAKE MWILINI. 🍊 ---------------------- 1. Chai ya majani ya mpera inaponyesha kifua na kikohozi. 2. Majani ya mpera yaliyosagwa vizuri yanatumika kutibu muwasho uliotokana na mzio (allergy). 3. Pia majani haya ya mpera yakichemshwa kama chai yanaondoa cholesterol iliyozidi mwilini. 4. Chai ya majani ya mpera inapunguza kiwango cha tatizo la sukari mwilini. 5. Chai ya mpera ni dawa nzuri kwa wenye matatizo ya nguvu za kiume. 6. Pia inatumika kama scrub ya uso. Chukua majani ya mpera saga kisha tia maji kiasi na inasaidia kuondoa uchafu usoni. 7. Pia majani ya mpera yakichemshwa ni dawa ya kuponyesha tumbo la kuhara. 8. Kama umejikata kidogo unaweza kutumia majani ya mpera yalioshwa na kusagwa vizuri kwa kupunguza maumivu na kukulinda na maambukizi ya bakteria. 9. Majani ya mpera yaliyosagwa vizuri yanatumika kutibu eneo la mwili lililong'atwa na mdudu na kupunguza maumivu. 10. Chai ya majani ya mpera inaaminika kuwa ina uwezo wa kutibu tezi dum...
Comments
Post a Comment