" Mungu ibariki Afrika " ( English : God bless Africa) is the national anthem of Tanzania . The anthem is the Swahili language version of Enoch Sontonga 's popular hymn Nkosi Sikelel' iAfrika . [1] The word Mungu in Swahili means God and the title of the anthem therefore translates as God bless A History "Mungu ibariki Afrika" was translated and became the anthem of Tanganyika . It was essentially assigned to Enoch Sontonga , who died in 1905. Mungu ibariki Afrika used the tune to "Nkosi Sikelel' iAfrika" with a Swahili translation of the words. It is not known who composed the lyrics but it is known that it was Samuel Mqhayi and Enoch Sontonga who created the early versions used by the African National Congress . [2] Although the tune has been assigned to Sontonga it is thought that the tune was originally written by Joseph Parry . [3] [1] This tr...
INASIKITISHA :: Mtoto wa miezi nane abakwa na baba yake mzazi baada ya mama yake kuenda kazini. Mtoto huyu aliachwa na mfanyakazi Wa ndani , dada Wa kazi alienda sokoni na mtoto kumuacha kwa jirani. Baba Wa huyu mtoto karudi na nyumbani na kumkuta Dada hayupo, ndipo alipoamua kuenda kumuulizia kwa jirani. Akakuta yupo mtoto, akamchkua mtoto na kuenda nae nyumbani. Baada ya hapo kilichotokea ni kumbaka mwanae.
UGONJWA WA MSHIPA WA NGIRI (HERNIA/HYDROCELE) Ngiri au Hernia ni aina ya ugonjwa ambao unampata mtu baada ya misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikilia au kubeba viungo fulani mwilini kupoteza uimara wake au kuwa na uwazi na hivyo kusababisha viungo hivyo kutoshikiliwa ipasavyo katika sehemu vinapostahili kuwepo. Katika mwili wa binadamu, maeneo ambayo tatizo hili hutokea mara kwa mara ni maeneo ya tumboni, katika eneo la kinena, eneo la paja kwa juu na pia ngiri inaweza kutokea katika eneo ambalo mtu alifanyiwa upasuaji. Ugonjwa huu wa ngiri unawapata wanaume na wanawake wa rika zote. Mshipa wa ngili ni jina linalokusanya magonjwa kama Ngiri kavu (Hernia), Ngiri maji (Hydrocele) na Ngiri nyinginezo kama vile kuvimba kokwa au mfereji unaopitisha manii unaojulikana kitaalamu kama Epididmorchitis. Ngiri Kavu (Hernia), aina hii ya ngiri huwapata wanawake na wanaume wote kwa ujumla. Ngiri kavu inapompata Mwanamke huitwa Fermoral Hernia, na pindi inapompata mwanaume inaitwa Scro...
Comments
Post a Comment