JE? UNAJUA NI NINI CHANZO CHA MKOA WA MBEYA KUITWA GREEN CITY!!!? TAZAMA HAPA BY S.O.G LIBRALY.



Hali ya hewa Nzuri sana Tukuyu


Habari Zinazoendana


 TASWIRA MBALIMBALI ZA MJI WA TUKUYU WILAYANI RUNGWE MKOANI MBEYA.

Kamera Yetu ilipata kuangazia baadhi ya Taswira kutoka katika Mji wa Tukuyu Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya kama ambavyo Taswira hapo juu ikionyesha moja ya Majengo yaliyopo katikati ya Mji wa Tukuyu Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya.Ankal Michuzi Akivizia miwa kwenye moja ya shamba la miwa lililopo Tukuyu Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya.Kijani Kibichi chenye Kumeremeta kikiwa kimezunguka baadhi ya Nyumba zilizopo Bondeni karibu na Soko Kuu la Tukuyu.Baadhi ya Magari yakikatiza katika Barabara Kuu ya...


Prof. Mwandosya akagua Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Lupaso-Bujesi,Tukuyu

Bango la Ujenzi wa Barabara ya Lupaso-Bujesi ambayo ni awamu ya kwanza ya ujenzi wa barabara ya Katumba -Tukuyu kwa kiwango cha lami.Waziri wa nchi Ofisi ya Rais - Kazi Maalum, Prof. Mark Mwandosya (katikati) na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo,Said Mderu wakipata maelezo ya ujenzi wa barabara ya Lupaso-Bujesi ambayo ni awamu ya kwanza ya ujenzi wa barabara ya Katumba -Tukuyu kwa kiwango cha lami.Wakati walipotembelea kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara hiyo.Waziri wa nchi...


TASWIRA KUTOKEA DARAJA LA MUNGU, WILAYANI RUNGWE MKOANI MBEYA

Hivi ndivyo lionekanavyo Daraja la Mungu lililopo nje kidogo ya Mji wa Kiwira, Tukuyu Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya, ni Daraja ambalo lilijitengeneza lenyewe kwa maajabu ya Mungu na hakuna mtu au mafundi walio husika katika ujenzi wa daraja hilo.
Baadhi ya wenyeji wa eneo lililopo Daraja hilo, wanasema kwamba kipindi cha nyuma (yaani enzi za mababu zetu) walikuwa wakihangaika sana kujenga daraja katika eneo hilo na jitihada za ujenzi wa daraja katika eneo hilo hazikuweza kuzaa matunda kutokana...


TASWIRA YA UJENZI WA BARABARA YA MABASI YAENDAYO KASI

Ujenzi wa barabara hiyo ukiendelea. Kamera yetu leo imepita maeneo mbalimbali ya Kinondoni barabara ya Kawawa, na kujionea namna ambavyo ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi unavyoendelea. Gabriel…


Taswira mbovu ya barabara ya “Market Street” jijini Mwanza

Hii ni barabara inayotegemewa na daladala za Bwiru-Kisesa, Airtport- Kishiri pamoja na Ilemela-Kishiri hii ikiwa ni kwa upande wa daladala. Lakini pia ikitegemewa na watumiaji wengine wa vyombo vya moto vya binafsi.
Ni barabara iliyotumika pia na wakazi wengi wa Jiji la Mwanza wakiwa wanatoka katika mizunguko yako ikiwemo kutoka Soko Kuu la Jiji la Mwanza. Kama inavyoonekana katika picha inahitaji msaada maana wakati huu wa mvua imeharibika sana.
“Hii barabara inaharibika mara kwa mara...


TASWIRA YA BARABARA YA KIVUKONI FRONT JIJINI DAR ES SALAAM LEo

 Taswira za barabara ya Kivukoni Drive jijini Dar es salaam inayoendelea kukarabatiwa na kujengwa njia ya mabasi yaendayo haraka. Hapa ni nje ya Mahakama Kuu


KAMERA YA GLOBU YA JAMII NA TASWIRA MBALIMBALI KUTOKA BARABARA YA MBEYA - TUNDUMA

Muonekano wa Barabara ya kutoka Mbeya kuelekea Tunduma mpaka Mkoani Rukwa, na hiki ni Kipande Kidogo cha njia panda ya Mlowo Mbozi Mkoani Songwe kama ambavyo kinaonekana katika Taswira hii. Hiki pia ni kipande Kidogo cha Barabara hiyo ya Mbeya Tunduma na hapa pia ni njiani kuelekea Vwawa ni mara baada ya kutoka Mlowo Mbozi Mkoani Songwe.Baadhi ya Wafanyabishara wa kuuza Matunda wakiwa katika Kilinge chao cha eneo la Mpemba Wilayani Momba..Wataalamu wa kuendesha Gari Ng'ombe wakiwa Sambamba...


TASWIRA MWANANA ZA MATUMIZI YA BARABARA BAADA YA KUNYESHA KWA MVUA JIJINI DAR

Kamera ya Mdau ilimnasa Dereva huyu wa Bodaboda akiwa na abiria wake,wakinyanyua miguu kukwepa kulowa na maji ya mvua yaliyofurika kwenye barabara ya Mbozi, Chang'ombe jijini Dar es Salaam jana. Mvua ya siku mbili tu tayari imeanza kuleta balaa ndani ya jiji hili la Dar. Kama kawaida,sasa hivi mwendo ni kuning'iniza miguu juu tu.Picha kwa hisani ya K-Vis Blog


updates: Taswira za Maendeleo ya ujenzi wa barabara na vituo vya mabasi yaendayo haraka jijini Dar es salaam

 Kituo cha Ubungo mwisho kinavyoonekana leo  Ubungo mwisho  Ubungo stendi  Daraja la Manzese bado linadunda Muonekano wa barabara hio kutokea Magomeni Mapipa kwa Macheni

Comments

Popular posts from this blog

Picha ya kutisha ya Mtoto wa miezi nane kulawitiwa na baba yake mzazi.

MAJANI YA MPERA NA FAIDA ZAKE MWILINI.