WANANCHII WAMJIA JUU GWAJIMA.

Kimenukaaa..Wananchi Wamjia Juu Gwajima,Ni Baada ya Mapepo Aliyoyaamuru Kukataa Kumwingia Makonda....!!!



Hivi karibuni baada ya video kusambaa mitandaoni, ikimuonyesha mchungaji gwajima akimtoa mtu mapepo huku akiamuru mapepo hayo yaende kwa mheshimiwa paul makonda,hata hivyo,pepo hilo lilimjibu gwajima kuwa huyo mtu haingiliki wamemshindwa.

Kitendo cha kuamuru pepo litoke na kuingia kwa makonda kimelaaniwa na wananchi wengi na kumtuhumu mchungaj huyo kuwa sio mchungaji bali anatumia jina la Mungu kujipatia kipato,wengine walienda mbali zaidi na kutaka vyombo vya usalama vimchukulie hatua mchungaji huyo kwa kupotosha watu.

Comments

Popular posts from this blog

Picha ya kutisha ya Mtoto wa miezi nane kulawitiwa na baba yake mzazi.

MAJANI YA MPERA NA FAIDA ZAKE MWILINI.